KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM
KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM
link : KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM
You are now reading the article KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/10/katibu-mkuu-chama-cha-act-wazalendo.html
Title : KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM
link : KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM
news-today.world |
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba (katikati) akitangaza kujivua uanachama na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo. Wengine ni aliyekuwa Ofisa Sheria na Katiba wa Chama Taifa, Mwantumu Mgonja na aliyekuwa Katibu wa ACT-Wazalendo Mkoa wa Arusha, Wilson Laizer.
*******************
Katika Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba amejivua rasmi uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kile alichokidai kuchoshwa na viongozi wa upinzani ambao hawapendi maendeleo yanayofanywa na serikali. Anaripoti Katuma Masamba.
Mwigamba amejivua uanachama wa ACT-Wazalendo pamoja na wanachama wengine 10 ambao wana nyadhifa mbalimbali Kitaifa na ngazi za Mikoa, huku idadi hiyo ikielezwa kuwa inaweza kuongezeka kulingana na kwamba kwa sasa CCM inatekeleza misingi ya kuhudumia wananchi.
Akizungumza na wanahabari leo, Mwigamba amesema, ameamua yeye na wenzake wameamua kujiunga na CCM ili kuendelea na mapambano ya kurudisha nchi katika kisingi yake kama ilivyokuwa misingi ya chama cha ACT-Wazalendo.
“Tumeamua kujiunga na CCM ili kuendelea na mapambano ya kuirudisha nchi yetu katika misingi yake, lakini pia kujiunga kwetu ni ili kukomesha ufisadi na rushwa,” amesema Mwigamba.
That's an article KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM
Fine for article KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article KATIBU MKUU CHAMA CHA ACT WAZALENDO AJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/10/katibu-mkuu-chama-cha-act-wazalendo.html