YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO - News Today in World

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO
link : YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO

news-today.world |
Mbunge wa Sengerema, Willium Ngeleja akizungumza jambo na Mbunge wa Muleba Kusini, Prof. Anna Tibaijuka nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.

 Mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya akifurahia jambo na Mbunge wa Kuteuliwa, Abdallah Bulembo nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
Mbunge mteule wa Viti Maalum, CUF, Rehema Migilla akila kiapo cha Uaminifu mbele ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, Bungeni Mjini Dodoma jana.



Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza Bungeni wakati akitoa maelekezo kwa kamati mbili za Bunge za Haki, Maadili na  madaraka ya Bunge inayoongozwa na George Mkuchika pamoja na ile ya Ulinzi na Usalama inayoongozwa na Adadi Rajab kuwaita haraka na kuwahoji Mbunge wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto na Mbunge wa Kinondoni, Saeed Kubenea kwa makosa tofauti. (Picha na Mroki Mroki).

 Wanafamilia na wanachama wa Chama cha CUF, waliomsindikiza Mbunga mpya wa Viti Maalum wa Chama hicho, Rehema Migilla wakimpongeza baada  ya Mbunge hiyo kula kiapo cha Umanifu Bungeni mjini Dodoma jana. Kulia ni Mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya. (Picha zote na  Mroki Mroki).
 Mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya akifurahia jambo na Mbunge wa Kuteuliwa, Abdallah Bulembo nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju akiwasilisha Bungeni mabadiliko ya miswada mbalimbali ya sheria.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jamhuri wakiwa Bungeni kwa ziara ya kimasomo.
 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Risala Kabongo, Bungeni Mjini Dodoma.
  Wabunge wakiwa Bungeni mjini Dodoma katika kikao cha Bunge.
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Yusuf Masauni wakiwasili Bungeni mjoni Dodoma.
Wabunge wakiwa Bungeni mjini Dodoma.
 Wabunge wa Grace Kiwelu (kushoto) wa Viti Maalum na Ester Matiko wa Tarime Mjini wakiwa Bungeni.
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwa Bungeni mjini Dodoma.
 Mbunge wa Segerea, Bonah Kaluwa akizungumza na Mbunge wa Mikumi, Jpseph Haule katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.

 Wabunge wakiwa Bungeni mjini Dodoma katika kikao cha Bunge.



That's an article YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Fine for article YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/09/yaliyojiri-bungeni-mjini-dodoma-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :