WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA
You are now reading the article WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/09/waziri-mkuu-majaliwa-awataka-watumishi.html
Title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA
news-today.world |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo wa eneo la Namanga wilayani Longido wakati alipotembelea Kituo cha Pamoja cha Forodha cha Namanga Septemba 21, 2017. Kulia wake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Kituo cha Pamoja cha Forodha cha Namanga wilayani Longido wakati alipowasili kituoni hapo, Septemba 21, 2017 kukagua shughuli za kituo hicho Septemba 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Kituo cha Pamoja cha Forodha cha Namanga wilayani Longido kituoni hapo, Septemba 21, 2017 wakati alipokagua shughuli za kituo hicho Septemba 21, 2017.
**********************
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi katika mipaka mbalimbali nchini ukiwemo wa Namanga mkoani Arusha kuhakikisha wanachunguza kwa umakini mizigo yote inayoingia ili kudhibiti uingizwaji wa silaha na dawa za kulevya nchini.
Ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Septemba 21, 2017) alipotembelea kituo cha Pamoja cha Forodha cha Namanga wilayani Longido kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya na kisha kuzungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo.
Waziri Mkuu amesema ni vema watumishi wa vituo vya forodha katika maeneo ya mipaka wakawa makini kwa kuhakikisha wanadhibiti uingizwaji wa silaha pamoja na dawa za kulevya nchini kwa sababu ndiyo zinazotumika katika matukio ya kihalifu.
Pia Waziri Mkuu ameziagiza mamlaka mbalimbali zinazosimamia ubora wa bidhaa kwenye vituo vote vya Forodha nchini kuhakikisha wanachunguza bidhaa zote na kujiridhisha ubora wake kabla ya kuruhusu kuingizwa nchini na kutumika.
“Tusingependa nchi yetu kuwa eneo au shimbo la kutupia bidhaa zisizokuwa na ubora Wizara zote zinazohusika na udhibiti wa ubora wa bidhaa zihakikishe suala la ukaguzi wa viwango vya ubora wa bidhaa zote zinazoingia nchini linapewa kipaumbele.”
Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Longido, Bw. Daniel Chongolo pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Bw. Juma Mhina kukutana na wananchi wanaofanya biashara ndogo ndogo katika eneo hilo pamoja na viongozi wa TRA na kuwatafutia eneo lingine kwa ajili ya kufanyia biashara zao.
Amesema kwa kuwa wananchi hao awali walikuwa wanafanya biashara zao ndani ya eneo hilo kabla ya kujengwa kituo hicho cha Pamoja cha Forodha, ambapo kwasasa hawaruhusiwi kutokana na makubaliano yaliyofikiwa kati ya Tanzania na Kenya kuhusu uendeshaji wa kituo hicho hivyo ni vema wakawatafutia eneo jingine nje ya uzio wa kituo hicho.
That's an article WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA
Fine for article WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATUMISHI WA MIPAKANI DHIBITINI UINGIZWAJI WA SILAHA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/09/waziri-mkuu-majaliwa-awataka-watumishi.html