WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF
WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF
link : WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF
You are now reading the article WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/09/wabunge-upinzani-wagomea-tena-uapisho.html
Title : WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF
link : WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF
news-today.world |
WABUNGE wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, leo kwa mara nyingine wamesusuia kushiriki uapisho wa mbunge mpya wa Viti Maalum wa Chama cha Wananchi CUF, Rehema Juma Migilla aliyeapishwa Bungeni mjini Dodoma leo. Anaandika Mroki Mroki, Dodoma.
Wabunge hao walikusanyika nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma asubuhi kabla ya Bunge kuanza na muda mfupi baada ya Mbunge huyo Mpya kula kiapo cha Uaminifu Mbele ya Spika wa Bunge, Job Ndugai waliingia Bungeni kuendelea na Shughuli za Bunge.
Mgomo wqa Wabunge hao ni muendelezo wa wabunge hao wa kuto kuwapa ushirikiano wabunge wote wapya wa CUF na wale wanaounga mkono upande wa Mwenyekiti wa Chama hicho, Prof. Ibeahim Lipumba.
That's an article WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF
Fine for article WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article WABUNGE UPINZANI WAGOMEA TENA UAPISHO WA MBUNGE MPYA WA CUF With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/09/wabunge-upinzani-wagomea-tena-uapisho.html