TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE
TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE
link : TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE
You are now reading the article TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/09/tulia-trust-yakabidhi-choo-katika.html
Title : TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE
link : TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE
news-today.world |
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tukuyu, Ezekiel Manyemele, wakifunua kitambaa kuzindua Jengo la Choo cha wanawake katika Hospitali ya Makandana Wilayani Rungwe, jana Sept 20, 2017. Jengo hilo la Choo limegharimu zaidi ya Sh. milioni 50.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akipanda mti na Mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Segera, Jackson Lusajo, wakati alipotembelea shule hiyo kukabidhi Vifaa vya ukarabati wa shule hiyo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Rungwe jana Sept 20, 2017. Jumla ya miti 160 ilipandwa katika shule hiyo ikiwa ni sehemu ya kutunza mazingira.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akimkabidhi tofali, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Segera, Fred Mfwea (wa pili kulia) na Diwani wa Kata ya Segera (katikati) wakati alipotembelea shuleni hapo kukabidhi Vifaa vya ukarabati wa shule hiyo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Rungwe jana Sept 20, 2017.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akicheza muziki 'Ndiyo Maana Tenzele' wa asili wa kabila la Wasafa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Unyamwange, Julius Pascal, wakati alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya akiangalisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Kituo cha afya Kata ya Isongole jana sept 20,2017.
That's an article TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE
Fine for article TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article TULIA TRUST YAKABIDHI CHOO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDARA-RUNGWE With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/09/tulia-trust-yakabidhi-choo-katika.html