TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI - News Today in World

TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI

TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI
link : TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI

news-today.world |

Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akikata keki kuashiria uzinduzi wa Chama cha washereheshaji (WSB) 'Wakali wa sherehe Bongo' jijini Dar es Salaam leo. Kutoka (kushoto) ni Moafisa wakuu wa Elimu kwa mlipa Kodi, Rose Mahendeka na Julius Mjenga, Mwenyekiti wa WSB, Lameck Matemba na Katibu wa chama hicho, Reuben Ndimbo.


Mwenyekiti wa WSB, Lameck Matemba akiongea wakati wa uzinduzi huo.

Afisa Mkuu wa Elimu kwa mlipa Kodi, Julius Mjenga akitoa mada kwa wana WSB.
Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akimpa za wadi ya diary Mwenyekiti wa WSB, Lameck Matemba
Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo
Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akitoa elimu kwa wanachama wa WSB.





Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akiwa katika picha ya pamoja na wana WSB na wageni wao.
Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa WSB. (Imeandaliwa na Robert okanda Blogspot)


That's an article TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI

Fine for article TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/09/tra-yatoa-somo-la-kodi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :