TIMU YA VIONGOZI MKOA WA MBEYA YAANZA KUJIFUA - News Today in World

TIMU YA VIONGOZI MKOA WA MBEYA YAANZA KUJIFUA

TIMU YA VIONGOZI MKOA WA MBEYA YAANZA KUJIFUA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TIMU YA VIONGOZI MKOA WA MBEYA YAANZA KUJIFUA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : TIMU YA VIONGOZI MKOA WA MBEYA YAANZA KUJIFUA
link : TIMU YA VIONGOZI MKOA WA MBEYA YAANZA KUJIFUA

news-today.world |
TIMU ya soka ya Viongozi Club ya mkoa wa Mbeya chini ya Kocha Mchezaji Amos Makalla imeanza kujifua kwaajili ya michezo mbalimbali.

Akizungumza baada ya mazoezi ya timu hiyo, Kocha wa Timu ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amesema timu hiyo imepata mialiko mingi ikiwepo ule wa Bunge Sports Club na timu za Veterans za mikoa ya Kilimanjaro na Dar es Salaam.

Katika mchezo wake wa mwisho, timu ya Viongozi mkoa wa Mbeya ilishinda kwa bao 4-1 dhidi ya timu ya Viongozi wa Dini.

Makalla alisema timu hiyo ilianzishwa kwa lengo la kuhamasisha mazoezi kwa viongozi na kuonesha mfano wa uongozi wa vitendo katika kuhamasisha michezo katika jamii.


That's an article TIMU YA VIONGOZI MKOA WA MBEYA YAANZA KUJIFUA

Fine for article TIMU YA VIONGOZI MKOA WA MBEYA YAANZA KUJIFUA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article TIMU YA VIONGOZI MKOA WA MBEYA YAANZA KUJIFUA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/09/timu-ya-viongozi-mkoa-wa-mbeya-yaanza.html

Subscribe to receive free email updates: