MUFTI WA TANZANIA ATOA MIEZI 6 KWA TAASISI ZILIZOSHINDWA KUSAFIRISHA MAHUJAJI KUREJESHA FEDHA - News Today in World

MUFTI WA TANZANIA ATOA MIEZI 6 KWA TAASISI ZILIZOSHINDWA KUSAFIRISHA MAHUJAJI KUREJESHA FEDHA

MUFTI WA TANZANIA ATOA MIEZI 6 KWA TAASISI ZILIZOSHINDWA KUSAFIRISHA MAHUJAJI KUREJESHA FEDHA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MUFTI WA TANZANIA ATOA MIEZI 6 KWA TAASISI ZILIZOSHINDWA KUSAFIRISHA MAHUJAJI KUREJESHA FEDHA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MUFTI WA TANZANIA ATOA MIEZI 6 KWA TAASISI ZILIZOSHINDWA KUSAFIRISHA MAHUJAJI KUREJESHA FEDHA
link : MUFTI WA TANZANIA ATOA MIEZI 6 KWA TAASISI ZILIZOSHINDWA KUSAFIRISHA MAHUJAJI KUREJESHA FEDHA

news-today.world |
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amezipa miezi sita taasisi zilizoshindwa kusafirisha mahujaji kuhakikisha zinarudisha fedha zilizochukua toka kwa mahujaji takribani 100. Anaandika Katuma Masamba.

Ametoa kauli hiyo, leo wakati wa baraza la Eid Al Hajj lililofanyika Masjid Taqwa, Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam ambalo pia limehudhuriwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi.

Mufti pia amesema taasisi ambazo zina mapungufu zitafutiwa usajili wake ili kulinda haki za waislamu.  

Taasisi zilizoshindwa kusafirisha mahujaji ni Taiba Hajj & Umrah social service Trust na Jamarat Hajj & Umrah Travellers.

Naye Dk Mwinyi alitaka kuwepo na utaratibu wa kuzichunguza taasisi zilizo chini ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) ili kuzuia mambo kama hayo yasitokee.


That's an article MUFTI WA TANZANIA ATOA MIEZI 6 KWA TAASISI ZILIZOSHINDWA KUSAFIRISHA MAHUJAJI KUREJESHA FEDHA

Fine for article MUFTI WA TANZANIA ATOA MIEZI 6 KWA TAASISI ZILIZOSHINDWA KUSAFIRISHA MAHUJAJI KUREJESHA FEDHA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MUFTI WA TANZANIA ATOA MIEZI 6 KWA TAASISI ZILIZOSHINDWA KUSAFIRISHA MAHUJAJI KUREJESHA FEDHA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/09/mufti-wa-tanzania-atoa-miezi-6-kwa.html

Subscribe to receive free email updates: