SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO
SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO
link : SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO
You are now reading the article SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/spika-ndugai-kuanika-ripoti-ya.html
Title : SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO
link : SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO
news-today.world |
BOFYA VIDEO HIYO KUMSIKILIZA SPIKA WA BUNGE
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa wiki ijayo atatoa taarifa kuhusu kazi zilizofanywa na kamati mbili za wabunge wanaochunguza mwenendo mzima wa makinikia na madini ya vito ili kuona namna madini hayo yanavyonufaisha Watanzania. Anaandika Francisca Emmanuel
Amesema kuwa licha ya kuwapa siku 30, kamati hizo bado zinaendelea na kazi na kwamba zilitembelea maeneo ya machimbo ya madini ikiwemo Merelani kufanya uchunguzi wa kina.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, Ndugai alisema kuwa bunge lililopita la bajeti aliunda kamati mbili muhimu kufuatilia masuala ya makinikia na madini kwa ujumla hususani ya dhahabu na kuongeza kamati ya vito (almasi na Tanzanite) zenye wajumbe 11 kila moja.
‘’Kwa kuwa sikuwepo nchini kwa wiki kadhaa, itakuwa ni mapema sana kusema chochote lakini kuanzia kesho kutwa ambapo nitakwenda Dodoma kupata mrejesho wa shughuli nzima zimeendeleaje lakini taarifa nilizonazo kamati zimefanya kazi nzuri sana,’’alisema Ndugai.
Alifafanua kuwa wiki ijayo atatoa taarifa ya nini kitafuata kufuatia kazi za kamati hizo kwani shughuli kubwa imefanyikia Dodoma.
Hata hivyo, alisema kuwa kamati nyingine za Bajeti na masuala ya Ukimwi zimeanza vikao vyake na kwamba Jumatatu kamati zote za Bunge zitaanza vikao Dodoma
That's an article SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO
Fine for article SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article SPIKA NDUGAI KUANIKA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAUZO YA VITO VYA TANZANITE NA ALMASI WIKI IJAYO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/spika-ndugai-kuanika-ripoti-ya.html