SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.
SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA. - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA., We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.
link : SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.
You are now reading the article SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA. With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/skauti-wapatao-200-kutoka-uingereza.html
Title : SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.
link : SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.
news-today.world |
Jumla ya skauti wapatao 200 kutoka jimbo la Hamshire Uingereza wapo nchini Tanzania kwa ziara ya kazi za jamii pamoja na skauti wenzao wa Tanzania.
Skauti hao wamekuja nchini kwa ajili ya kufanya kazi za jamii ambapo wamejitolea kukarabati Kambi kuu ya Mafunzo ya Skauti iitwayo Bahati ambayo ipo mkoani Morogoro nje kidogo ya mji huo.
Ziara hiyo ambayo itachukua zaidi ya mwezi mmoja kukarabati eneo hilo la kambi, na baada ya hapo watatembelea maeneo mengine ya Kilosa, Ifakara, na Mikumi kabla ya kurejea nchini kwao Uingereza.
Kazi za kujitolea kwa vijana Skauti ni mojawapo ya shughuli zao za kila siku kusaidia watu siku zote kama Kanuni za Skauti zinavyosema.
Hii ni mara ya kwanza kwa kundi kubwa la Skauti kutoka Uingereza kutembelea Tanzania.
Wakiwa nchini Tanzania skauti hao kutoka nje wanashirikiana na wenyeji wao Chama cha Skauti Tanzania, kutoka Makao Makuu D’salaam na wengine wa mkoani Morogoro.
That's an article SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.
Fine for article SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA. This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA. With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/skauti-wapatao-200-kutoka-uingereza.html