RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI
RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI
link : RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI
You are now reading the article RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/rais-wa-uganda-yoweri-museveni-awasili.html
Title : RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI
link : RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI
news-today.world |
Rais wa Uganda, Yoweri Museven akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege Tanga jana tayari kuhudhuria sherehe za uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga. Marais John Magufuli na Rais Museven watashiriki katika uwekaji huo wa jiwe la msingi. (Picha na Mroki Mroki).
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni akiwasili katika uwanja wa ndege wa Tanga akiwa ameongozana na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na kupokewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa tayari kwa Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi toka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania utakaofanyika kesho katika eneo la Chongoleani mkoani Tanga.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake wakati akielekea kwenye Dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika Ikulu ya Tanga.
That's an article RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI
Fine for article RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/rais-wa-uganda-yoweri-museveni-awasili.html