RAIS WA FATTAH EL-SISI WA MISRI KUWASILI NCHINI JUMATATU HII
RAIS WA FATTAH EL-SISI WA MISRI KUWASILI NCHINI JUMATATU HII - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title RAIS WA FATTAH EL-SISI WA MISRI KUWASILI NCHINI JUMATATU HII, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : RAIS WA FATTAH EL-SISI WA MISRI KUWASILI NCHINI JUMATATU HII
link : RAIS WA FATTAH EL-SISI WA MISRI KUWASILI NCHINI JUMATATU HII
You are now reading the article RAIS WA FATTAH EL-SISI WA MISRI KUWASILI NCHINI JUMATATU HII With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/rais-wa-fattah-el-sisi-wa-misri.html

news-today.world |
Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi anatarajiwa kuwasili nchini Jumatatu Agosti 14, mwaka huu kwaajili ya ziara ya siku mbili ambapo ataongozana na ujumbe wake na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Dr. John Magufuli.
Kutokana na ugeni huo mzito Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewataka wakazi wa jiji la Dar es salaam ikiwemo wenye Hotel, Magari na Migahawa kuchangamkia fursa ya ugeni huo katika kufanya biashara ili kujipatia kipato na kukuza Biashara zao.
Makonda amewataka wakazi wa Dar es salaam kuonyesha ukarimu tangu Rais atakapowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere hadi hapo atakaporejea nchini Misri siku ya Jumanne.
Ugeni huu ni matunda ya uwezo wa Rais Magufuli katika kujenga mahusiano mazuri baina ya Tanzania na Mataifa mbalimbali ulimwenguni.

That's an article RAIS WA FATTAH EL-SISI WA MISRI KUWASILI NCHINI JUMATATU HII
Fine for article RAIS WA FATTAH EL-SISI WA MISRI KUWASILI NCHINI JUMATATU HII This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.