MAVUNDE AZINDUA PROGRAMU YA KUKUZA UJUZI KWA VIJANA MTWARA.
MAVUNDE AZINDUA PROGRAMU YA KUKUZA UJUZI KWA VIJANA MTWARA. - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MAVUNDE AZINDUA PROGRAMU YA KUKUZA UJUZI KWA VIJANA MTWARA., We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : MAVUNDE AZINDUA PROGRAMU YA KUKUZA UJUZI KWA VIJANA MTWARA.
link : MAVUNDE AZINDUA PROGRAMU YA KUKUZA UJUZI KWA VIJANA MTWARA.
You are now reading the article MAVUNDE AZINDUA PROGRAMU YA KUKUZA UJUZI KWA VIJANA MTWARA. With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/mavunde-azindua-programu-ya-kukuza.html

news-today.world |
Mavunde amewataka Vijana kuutumia ujuzi watakaoupata kupitia mafunzo hayo ili waweze kujiajiri na kuajiri Vijana wengine na pia kutumia ujuzi huo kushiriki katika Uchumi wa Viwanda.
Mavunde aliwataka Vijana waliopata fursa ya kuingia kwenye Mafunzo Haya, kutumia vizuri fursa hii kwa kuwa Waaminifu na Kuwajibika ipasavyo ili kujenga msingi wa mafanikio.
"Mafunzo haya yanatolewa na Serikali kupitia Fedha za walipa kodi hivyo mhakikishe fursa hii vyema ili iongeze thamani katika shughuli zenu,Serikali ya Mhe John Pombe Magufuli imedhamiria kuwekeza kwa vijana kwa kuwajengea ujuzi vijana na kuwawezesha ili waweze kushiriki katika Uchumi wa Nchi yao"Alisema Mavunde
Vijana washiriki wa mafunzo hayo wameishukuru Serikali ya awamu ya Tano kwa kuthamini vipaji vyao vya ufundi kwa kuwaongezea Ujuzi na kuwarasimisha kwa kuwapatia vyeti vya Mafunzo ya Ufundi pasipo wao kupitia vyuo vya Ufundi katika utaratibu wa kawaida wa masomo.
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu , Anthony Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu , Anthony Mavunde akisikiliza vijana
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu , Anthony Mavunde akishiriki moja ya kazi za vijana hao
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu , Anthony Mavunde amezindua Mafunzo ya Utambuzi wa Ujuzi uliopatikana nje ya mfumo Rasmi, kwa Vijana 847 kutoka Mikoa ya Mtwara, Lindi, Morogoro, Pwani, na Dar es Salaam mafunzo yaliyozinduliwa Mkoani Mtwara.
Mavunde amewataka Vijana kuutumia ujuzi watakaoupata kupitia mafunzo hayo ili waweze kujiajiri na kuajiri Vijana wengine na pia kutumia ujuzi huo kushiriki katika Uchumi wa Viwanda.
Mavunde aliwataka Vijana waliopata fursa ya kuingia kwenye Mafunzo Haya, kutumia vizuri fursa hii kwa kuwa Waaminifu na Kuwajibika ipasavyo ili kujenga msingi wa mafanikio.
"Mafunzo haya yanatolewa na Serikali kupitia Fedha za walipa kodi hivyo mhakikishe fursa hii vyema ili iongeze thamani katika shughuli zenu,Serikali ya Mhe John Pombe Magufuli imedhamiria kuwekeza kwa vijana kwa kuwajengea ujuzi vijana na kuwawezesha ili waweze kushiriki katika Uchumi wa Nchi yao"Alisema Mavunde
Vijana washiriki wa mafunzo hayo wameishukuru Serikali ya awamu ya Tano kwa kuthamini vipaji vyao vya ufundi kwa kuwaongezea Ujuzi na kuwarasimisha kwa kuwapatia vyeti vya Mafunzo ya Ufundi pasipo wao kupitia vyuo vya Ufundi katika utaratibu wa kawaida wa masomo.
That's an article MAVUNDE AZINDUA PROGRAMU YA KUKUZA UJUZI KWA VIJANA MTWARA.
Fine for article MAVUNDE AZINDUA PROGRAMU YA KUKUZA UJUZI KWA VIJANA MTWARA. This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.