MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU
MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU
link : MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU
You are now reading the article MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/marufuku-viongozi-kufanya-biashara-ya.html
Title : MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU
link : MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU
news-today.world |
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepiga marufuku viongozi wa Serikali kufanya biashara ya pembejeo na vishada kama hawana mashamba ya tumbaku.
“Kuna baadhi ya viongozi wa Serikali hapa mkoani wamejiingiza kwenye biashara ya vishada na uuzaji wa pembejeo. Hii ni dosari. Hatutaruhusu hili hata kidogo,” alisema.
Waziri Mkuu alitoa onyo hilo jana jioni (Jumatano, Agosti 9, 2017) wakati akizungumza na wadau wa zao la tumbaku zaidi ya 600 wakiwemo wabunge, viongozi wa dini, chama na Serikali kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Isike-Mwanakiyungi, mjini Tabora.
Alisema: “Kiongozi wa Serikali ni lazima uwe shamba na ulilime kisasa ili liwe ni shamba darasa kwa wakulima walio jirani nawe. Usifanye biashara ya pembejeo kana huna shamba. Nanyi viongozi wa AMCOS msikubali kuuza vishada vya viongozi wa Serikali, tukikukamata, utaenda jela.”
Alisema endapo viongozi wataamua kulima mashamba ya zao hilo, watalazimika kujiunga na vyama vya msingi (AMCOS) vya kwenye maeneo yao ili waweze kuuza kupitia huko kutokana na agizo la Serikali linalokataza makampuni kununua tumbaku bila kupitia kwenye vyama vya msingi.
Aprili 15, mwaka huu, akiwa katika ziara ya siku moja mkoani Tabora, Waziri Mkuu aliagiza wakulima wa kujitegemea (Indepenent Farmers) na wale wa kwenye vikundi (Associations) wote wauzie tumbaku yao kupitia kwenye vyama vya ushirika ili kuzuia utoroshaji wa zao hilo na wakulima wasio na madeni kulazimika kuwalipia wenzao.
That's an article MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU
Fine for article MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article MARUFUKU VIONGOZI KUFANYA BIASHARA YA PEMBEJEO KAMA HAWANA MASHAMBA – WAZIRI MKUU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/marufuku-viongozi-kufanya-biashara-ya.html