MAKONDA AWAONGEZEA NGUVU TBC
MAKONDA AWAONGEZEA NGUVU TBC - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MAKONDA AWAONGEZEA NGUVU TBC, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : MAKONDA AWAONGEZEA NGUVU TBC
link : MAKONDA AWAONGEZEA NGUVU TBC
You are now reading the article MAKONDA AWAONGEZEA NGUVU TBC With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/makonda-awaongezea-nguvu-tbc.html
Title : MAKONDA AWAONGEZEA NGUVU TBC
link : MAKONDA AWAONGEZEA NGUVU TBC
news-today.world |
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo ametoa msaada wa Gari aina ya Noah,Pikipiki Tatu, Komputer Tano na Camera Mbili za kisasa kwa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC ili kuongeza nguvu katika kuwafikia Wananchi.
Mbali na Vifaa hivyo vya kisasa pia Makonda amefanikiwa kumpata mfadhili atakaepaka Rangi Jengo lote la TBC kuanzia siku ya kesho ili liwe na mwonekano wa kisasa.u

Akizungumza baada ya kukabidhi msaada huo Makonda amesema lengo ni kuwawezesha Wananchi ambao hawana uwezo wa kuita vyombo vya habari na kueleza matatizo yao waweze kufikiwa.
Makonda ametoa msaada huo baada ya kufika Ofisi za TBC na kubaini uwepo wa changamoto za vifaa ikiwemo Usafiri, Camera na Computer ambapo kwa sasa Gari na Pikipiki hizo zitawawezesha Waandishi kufika kwenye matukio kwa uharaka huku Compute zikimuwezesha M
Wahariri kutekeleza majukumu yao.
Vifaa hivyo vitatumika kuongeza nguvu kwenye kipindi cha Hadubini ambacho kimekuwa kikisaidia Wananchi wanyonge kupaza sauti zao.
Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa TBC Martha Swai amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kuwapatia msaada huo kuku Zaitun Mkwama ambae ni mtayarishaji wa kipindi cha Hadubini akieleza kuwa vifaa hivyo vitawaongezea ufanisi katika kazi yao.

That's an article MAKONDA AWAONGEZEA NGUVU TBC
Fine for article MAKONDA AWAONGEZEA NGUVU TBC This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.