MAKONDA APIGA MARUFUKU WATENDAJI WA MKOA KUSAFIRI NJE YA MKOA WA DAR BILA RUHUSA YAKE - News Today in World

MAKONDA APIGA MARUFUKU WATENDAJI WA MKOA KUSAFIRI NJE YA MKOA WA DAR BILA RUHUSA YAKE

MAKONDA APIGA MARUFUKU WATENDAJI WA MKOA KUSAFIRI NJE YA MKOA WA DAR BILA RUHUSA YAKE - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MAKONDA APIGA MARUFUKU WATENDAJI WA MKOA KUSAFIRI NJE YA MKOA WA DAR BILA RUHUSA YAKE, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MAKONDA APIGA MARUFUKU WATENDAJI WA MKOA KUSAFIRI NJE YA MKOA WA DAR BILA RUHUSA YAKE
link : MAKONDA APIGA MARUFUKU WATENDAJI WA MKOA KUSAFIRI NJE YA MKOA WA DAR BILA RUHUSA YAKE

news-today.world |
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amepiga marufuku watendaji wa Mkoa huo kutoka nje ya mkoa bila kutoa taarifa kwa mkuu wa Mkoa

Makonda amepiga marufuku hiyo leo wakati wa kongamano la tathimini ya hali ya miundombinu ya barabara za mkoa huo unaoendelea katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere.

Kauli hiyo ya Makonda imekuja baada kukosekana kwa watendaji ambao walitakiwa kuhudhuria kongamano hilo kwa madai kuwa wako nje ya mkoa kikazi huku waliobakia wakishindwa kueleza kuwa wapo kwaajili ya kazi gani.

" Kuanzia sasa hakuna mtumishi wa Mkoa huh kutoka nje bila kutoa taarifa hata kama ni kazi ya Wizara gani lazima mtoe taarifa, kumekuwa na tabia ya watu kujitengenezea tu safari ambazo hazijulikani wakati hata rais wetu alishazikataza," alisema Makonda.


That's an article MAKONDA APIGA MARUFUKU WATENDAJI WA MKOA KUSAFIRI NJE YA MKOA WA DAR BILA RUHUSA YAKE

Fine for article MAKONDA APIGA MARUFUKU WATENDAJI WA MKOA KUSAFIRI NJE YA MKOA WA DAR BILA RUHUSA YAKE This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MAKONDA APIGA MARUFUKU WATENDAJI WA MKOA KUSAFIRI NJE YA MKOA WA DAR BILA RUHUSA YAKE With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/08/makonda-apiga-marufuku-watendaji-wa.html

Subscribe to receive free email updates: