UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA
UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA
link : UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA
You are now reading the article UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/ujio-wa-timu-ya-everton-hii-leo-nchini.html
Title : UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA
link : UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA
newstoday-ok.blogspot.com ~
Nyota wa timu ya Everton wakiongozwa na Wayne Rooney wakiteremka kutoka katika ndege hii leo wakati timu hiyo pamoja na viongozi kadhaa ilipowasili nchini Tanzania tayari kwaajili ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Gor mahia ya Kenya. Mchezo huo utafanyika katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Julai 14,2017.
Wachezaji wa Everton wakishuka katika ndege katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akisalimiana na nyota wa Everton Wayne Rooney baada ya kuwasili nchini leo.
Winga wa Everton raia wa Congo, Yannick Bolasie akisalimiana na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizarani, Yusuph Omar.
wachezaji wakiangalia Burudani
Burudani ya Morani wa Kimaasai ikiendelea
Winga wa Everton raia wa Congo, Yannick Bolasieaskisalimia wanafunzi walipompokea.
Kiungo wa timu ya Everton raia wa Senegal, Idrissa Gana Gueye akisalimia watoto wanaosoma shule ya Uhuru Mchanganyika wakati yeye na wenzake walipo itembelea hii leo.
Wachezaji wa Everton wakiwa Shule ya Uhuru Mchanganyiko hii leo. Picha/Everton.
That's an article UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA
Fine for article UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/ujio-wa-timu-ya-everton-hii-leo-nchini.html