TTCL YAJA NA HUDUMA MPYA YA TTCL PESA KWA WATEJA WAKE - News Today in World

TTCL YAJA NA HUDUMA MPYA YA TTCL PESA KWA WATEJA WAKE

TTCL YAJA NA HUDUMA MPYA YA TTCL PESA KWA WATEJA WAKE - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TTCL YAJA NA HUDUMA MPYA YA TTCL PESA KWA WATEJA WAKE, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : TTCL YAJA NA HUDUMA MPYA YA TTCL PESA KWA WATEJA WAKE
link : TTCL YAJA NA HUDUMA MPYA YA TTCL PESA KWA WATEJA WAKE

newstoday-ok.blogspot.com ~
Kampuni ya Simu ya Tanzania (TTCL) imewataka Watanzania kuwa wazalendo na kutumia huduma za mtandao huo ikiwemo huduma ya TTCL Pesa iliyoanzishwa mwaka huu.

Mtunza fedha Fedha wa Idara ya TTCL Pesa, Liliane Hosea (pichani) ametoa kauli hiyo katika maonesha ya 41 ya biashara ya kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere, barabara ya Kilwa.
"Kupitia TTCL Pesa wanaweza kupata huduma mbalimbali za kutuma na kupokea pesa, pamoja na huduma nyingine za miamala ya kifedha ambayo mtu anaweza kutumia katika kupata huduma," amesema Liliane.

Aidha, amesema mbali na huduma hiyo lakini pia wateja watakaotembelea banda lao wanaweza kupata huduma zingine mbalimbali ikiwa ni pamoja na simu za kisasa, vifaa vya intaneti pamoja na intaneti ya kasi ya 4G.

Naye, Rashid Majid ambaye ni Ofisa Bidhaa wa TTCL amesema, katika maonesho hayo wana simu za mezani za kisasa pamoja na vifaa vingine ikiwemo kamera za usalama.


That's an article TTCL YAJA NA HUDUMA MPYA YA TTCL PESA KWA WATEJA WAKE

Fine for article TTCL YAJA NA HUDUMA MPYA YA TTCL PESA KWA WATEJA WAKE This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article TTCL YAJA NA HUDUMA MPYA YA TTCL PESA KWA WATEJA WAKE With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/ttcl-yaja-na-huduma-mpya-ya-ttcl-pesa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :