TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA
TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA
link : TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA
You are now reading the article TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/tff-yasema-uchaguzi-mkuu-upo-palepale.html
Title : TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA
link : TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA
newstoday-ok.blogspot.com ~
Sikiliza video hii
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewataka wanafamilia wa mchezo wa soka nchini kuwa na subira, kwakuwa Kamati ya uchaguzi mkuu wa shirikisho imeundwa upya na kilichobaki ni Mwenyekiti wake, Revocatus Kuuli kuwaita wajumbe wa kamati hiyo.
Msemaji wa shirikisho hilo, Alfred Lucas amesema, tayari kamati hiyo imeshafanyiwa marekebisho kwa kuondoa baadhi ya wajumbe na kuweka wajumbe wengine wapya.
"Mambo yote yako tayari, wanafamilia wa soka wawe na subira tu, kwasababu wajumbe wameshateuliwa na kilichobaki ni Mwenyekiti kuwaita, kwahiyo nafikiri ndani ya siku mbili hizi tutawatangazia mashabiki wa mpira rasmi," amesema Luca.
Lucas pia amesisitiza kuwa tarehe ya uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo bado haijabadilika bali unatarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu mjini Dodoma.
Aidha, amesema kilichosababisha kamati ya kwanza kuvunjwa ni baada ya Kamati ya Utendaji ya TFF kujidhihirisha kuwepo kwa kutokuheshimiana na uelewa mdogo, mgongano wa maslahi pamoja na nidhamu.
That's an article TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA
Fine for article TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article TFF YASEMA UCHAGUZI MKUU UPO PALEPALE AGOSTI 12 MJINI DODOMA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/tff-yasema-uchaguzi-mkuu-upo-palepale.html