TBC KUZINDUA CHANNEL YA MASUALA YA UTALII MWEZI DESEMBA MWAKA HUU - News Today in World

TBC KUZINDUA CHANNEL YA MASUALA YA UTALII MWEZI DESEMBA MWAKA HUU

TBC KUZINDUA CHANNEL YA MASUALA YA UTALII MWEZI DESEMBA MWAKA HUU - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TBC KUZINDUA CHANNEL YA MASUALA YA UTALII MWEZI DESEMBA MWAKA HUU, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : TBC KUZINDUA CHANNEL YA MASUALA YA UTALII MWEZI DESEMBA MWAKA HUU
link : TBC KUZINDUA CHANNEL YA MASUALA YA UTALII MWEZI DESEMBA MWAKA HUU

news-today.world |

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji (TBC), Dk. Ayoub Rioba amesema chaneli ya utalii itakayokuwa ikirushwa na televisheni hiyo itazinduliwa Desemba 30, mwaka huu.

Amesema chaneli hiyo itasaidia kukuza sekta ya utalii nchini kwa kuwa kila Mtanzania pamoja na wageni wengine wataweza kufahamu sekta ya utalii ya Tanzania kupitia chaneli hiyo.

"Tunatarajia kumaliza andiko Agosti 10 ambalo litaenda sambasamba na uombaji wa leseni ambao tunatarajia itakuwa Septemba 10," amesema Dk Rioba wakati akiwasilisha mada katika mkutano wa wahariri na wanahabari waandamizi wa masuala ya utalii unaofanyika mkoabi Tanga.
 
Mratibu wa Mradi wa Kupunguza Uzalishaji wa Hewa Ukaa kutokana na Ukataji na Uharibifu wa Misitu (MKUHUMI), Gerald Kamwenda akiwasilisha mada kuhusu hifadhi za mazingira asilia na mikakati ya utalii kwa wanahabari.
 Naibu Mkurugenzi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Tuma Abdallah akifuatilia mkutano huo unaoendelea na mkoani Tanga
 Waandishi mbalimbali wa habari nchini wakisikilza mada wakati wa mkutano wa Hifadhi za Taifa, Wahariri na Waandishi wa habari waandamizi nchini unaofanyika jijini Tanga.


That's an article TBC KUZINDUA CHANNEL YA MASUALA YA UTALII MWEZI DESEMBA MWAKA HUU

Fine for article TBC KUZINDUA CHANNEL YA MASUALA YA UTALII MWEZI DESEMBA MWAKA HUU This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article TBC KUZINDUA CHANNEL YA MASUALA YA UTALII MWEZI DESEMBA MWAKA HUU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/tbc-kuzindua-channel-ya-masuala-ya.html

Subscribe to receive free email updates: