TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA
TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA
link : TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA
You are now reading the article TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/tanzania-na-kenya-zamaliza-tofauti-za.html
Title : TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA
link : TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA
newstoday-ok.blogspot.com ~
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Kenya zimefanya mazungumzo ya pamoja na kutatua vikwazo vilivyokuwa vikiikabili sekta ya biashara baina ya nchi hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Jijini Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga ametoa taarifa juu ya kumalizika kwa tofauti za kibiashara baina ya nchi hizo.
“Bidhaa za Tanzania zilizowekewa vikwazo na nchi ya Kenya ni unga wa ngano pamoja na gesi ya kupikia (LPG). Aidha juhudi, za Serikali ya Tanzania kuona vikwazo hivyo vinaondolewa na Serikali ya Kenya kwa wakati hazikuzaa matunda, hivyo Serikali ya Tanzania nayo iliweka vikwazo kwa bidhaa za maziwa na sigara kutoka Kenya kuingia katika soko la Tanzania,” amefafanua Dkt. Mahiga.
Amesema kuwa kutokana na mahusiano mazuri ya udugu yaliyopo kati ya Tanzania na Kenya na kwa kujali manufaa mapana ya Jumuiya ya Afrika Mashariki viongozi wakuu wa nchi hizo mbili, Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli walikubaliana kuzungumza na kutoa vikwazo vya biashara hizo.
Aidha, Dkt. Mahiga amesema, nchi hizo zimekubaliana kuunda Tume ya pamoja ambayo itakuwa na jukumu la kuepusha tofauti za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya pamoja na kutolea ufumbuzi changamoto za kibiashara kati ya nchi hizo mbili pindi zinapojitokeza.
Tume hiyo itaongozwa na Mawaziri wa mambo ya Nje wa Tanzania na Kenya na kujumuisha mawaziri wanaohusika na masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Biashara, Fedha, Mambo ya Ndani ya Nchi, Kilimo, Uchukuzi na Utalii wa nchi hizo.
That's an article TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA
Fine for article TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article TANZANIA NA KENYA ZAMALIZA TOFAUTI ZA KIBIASHARA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/tanzania-na-kenya-zamaliza-tofauti-za.html