RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO
RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO
link : RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO
You are now reading the article RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/rc-mbeya-azindua-uwekaji-alama-mifugo.html
Title : RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO
link : RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO
newstoday-ok.blogspot.com ~
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala amezindua uwekaji alama mifugo mkoani Mbeya.
Makalla amefanya uzinduzi huo leo katika Kijiji cha Soweto wilayani Chunya na kusema kuwa uwekaji alama mifugo ni utekelezaji wa sheria ya mifugo namba 12 ya mwaka 2010.
Amewataka wafugaji wote 2,755 wa Wilayani Chunya kuhakikisha kuwa Ng’ombe 282,517 wanawasajili na kupiga chapa.
Makalla amesema faida ya kusajili na kuweka alama mifugo kuwa ni pamoja na kujua idadi ya mifugo, kuwa na mipango ya matumizi bora ya ardhi ili kuepusha migogoro ya wakulima na wafugaji.
Aidha amesema kuwa faida nyingine ni kuzuia uingiaji mifugo kiholela na kuthibiti magonjwa ya mifugo.
Amekiagiza kikosi kazi kinachofanya kazi hiyo kuhakkisha kinakamilisha uwekaji alama mifugo katika kipindi cha mwezi mmoja.
Amewapongeza wafugaji kujitokeza kwa wingi na hii ni kutokana na maandalizi mazuri ikiwemo Elimu ya kutosha kabla ya zoezi kuanza.
That's an article RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO
Fine for article RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article RC MBEYA AZINDUA UWEKAJI ALAMA MIFUGO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/rc-mbeya-azindua-uwekaji-alama-mifugo.html