RC DAR AFANYA MKUTANO WA KUJADILI NAMNA YA UBORESHAJI ELIMU
RC DAR AFANYA MKUTANO WA KUJADILI NAMNA YA UBORESHAJI ELIMU - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title RC DAR AFANYA MKUTANO WA KUJADILI NAMNA YA UBORESHAJI ELIMU, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : RC DAR AFANYA MKUTANO WA KUJADILI NAMNA YA UBORESHAJI ELIMU
link : RC DAR AFANYA MKUTANO WA KUJADILI NAMNA YA UBORESHAJI ELIMU
You are now reading the article RC DAR AFANYA MKUTANO WA KUJADILI NAMNA YA UBORESHAJI ELIMU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/rc-dar-afanya-mkutano-wa-kujadili-namna.html

newstoday-ok.blogspot.com ~
Katika Mkutano huo Makonda ametoa fursa kwa wakuu wa Shule na Maafisa Elimu kueleza changamoto na sababu zinazosababisha Wanafunzi kutofanya vizuri katika masomo ambapo baada ya kusikiliza kero hizo ameahidi kuzifanyia kazi kwa kipindi cha muda mfupi.
Makonda ameahidi kuyatekeleza kwa muda mfupi ni pamoja na kuhakikisha shule zote zinaunganishwa na huduma ya Umeme, Vyoo vya walimu na wanafunzi,Ofisi za walimu na Samani zake pamoja na kutoa mabati kwa shule zenye mabati chakavu.
Amesema kuwa amedhamiria kuboresha sekta ya Elimu kwa kuhakikisha anamaliza kero zote zinazokabili sekta hiyo ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi ili kuongeza ufaulu na kuufanya Mkoa wa Dar es salaam kutoa elimu bora.
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefanya mkutano na watendaji wa sekta ya elimu wakiwemo Maafisa elimu ngazi zote na Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari kwa lengo la kujadili namna bora ya kuboresha ufaulu kwa wanafunzi na uboreshaji wa Sekta ya Elimu.
Katika Mkutano huo Makonda ametoa fursa kwa wakuu wa Shule na Maafisa Elimu kueleza changamoto na sababu zinazosababisha Wanafunzi kutofanya vizuri katika masomo ambapo baada ya kusikiliza kero hizo ameahidi kuzifanyia kazi kwa kipindi cha muda mfupi.
Makonda ameahidi kuyatekeleza kwa muda mfupi ni pamoja na kuhakikisha shule zote zinaunganishwa na huduma ya Umeme, Vyoo vya walimu na wanafunzi,Ofisi za walimu na Samani zake pamoja na kutoa mabati kwa shule zenye mabati chakavu.
Amesema kuwa amedhamiria kuboresha sekta ya Elimu kwa kuhakikisha anamaliza kero zote zinazokabili sekta hiyo ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi ili kuongeza ufaulu na kuufanya Mkoa wa Dar es salaam kutoa elimu bora.
“Nataka tumalize kero zinazowakabili ili nyie muweze kutekeleza majukumu yenu ya kutoa elimu bora, sitaki mpate sababu ya kuwakwamisha, na kwakweli jisikie vibaya shule yako inapofanya vibaya, nachotaka mjikite kwenye nafasi yenu kama mimi ninavyojikita kwenye nafasi yangu,” Alisema Makonda.
Kuhusu changamoto ya upungufu wa walimu kwa baadhi ya shule, Makonda amewaagiza maafisa elimu kutatua changamoto hiyo kutokana na kuwepo kwa baadhi ya shule zenye walimu wengi huku nyingine zikiwa na wachache.
Hata hivyo ameahidi kuwapatia usafiri wa Pikipiki Maafisa Elimu wa Kata iliwaweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na kuwaongezea usafiri wa magari kwa wadhibiti wakuu wa ubovu wa shule kwenye Manispaa ya Ilala.
Pamoja na yote, Makonda amemuagiza Afisa Elimu wa Mkoa kuwavua madaraka Maafisa elimu wa kata 12 kutokana na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za elimu kiasi cha Shilingi laki mbili na nusu kila mwezi ambazo wanapatiwa kwaajili ya shughuli za Elimu lakini hao wamekuwa wakizitumia kununua Vipodozi na Mavazi badala ya elimu.
Makonda amewaagiza walimu wakuu kuandika maelezo ya nini kinachokwamisha shule yake hadi kushindwa kufanya vizuri pamoja na mapendekezo ya nini kifanyike ili kuongeza ufaulu kisha kuwasilisha kwa Afisa Elimu ndani ya siku saba kuanzia sasa.
Katika hatua nyingine Makonda ametoa siku 20 kwa wakuu wa shule kuhakikisha Bar na nyumba za wageni zilizojengwa kwenye maeneo ya shule zinavunjwa mara moja kutokana na usumbufu wanaosababisha kwa wanafunzi muda wa masomo.

That's an article RC DAR AFANYA MKUTANO WA KUJADILI NAMNA YA UBORESHAJI ELIMU
Fine for article RC DAR AFANYA MKUTANO WA KUJADILI NAMNA YA UBORESHAJI ELIMU This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.