MAVUNDE AWADUWAZA WANAKIJIJI WA MATUMBULU - News Today in World

MAVUNDE AWADUWAZA WANAKIJIJI WA MATUMBULU

MAVUNDE AWADUWAZA WANAKIJIJI WA MATUMBULU - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MAVUNDE AWADUWAZA WANAKIJIJI WA MATUMBULU, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MAVUNDE AWADUWAZA WANAKIJIJI WA MATUMBULU
link : MAVUNDE AWADUWAZA WANAKIJIJI WA MATUMBULU

newstoday-ok.blogspot.com ~
 MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini ambaye pia ni  Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde leo amekabidhi mabomba ya kusambazia maji kwa wananchi wa jimbo lake ambao aliwaahidi kufanya hivyo katika harakati za kutatua kero ya maji jimboni kwake.
 Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde akikabidhi mambo hayo.
 Wananchi wakimshukuru Mbunge wao.
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini ambaye pia ni  Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde, leo amekamilisha ahadi yake katika kijiji cha Matumbulu kwa kutoa mabomba ya kutandazia maji kijiji kizima yenye urefu wa Km 1 na yenye thamani ya zaidi ya Tshs 8m.

Kufuatia utekelezaji huo wa ahadi hiyo wananchi hao walipigwa na duwaa kwa uharaka wa utekelezaji wa ahadi hiyo kwakuwa tatizo hilo la upatikanaji wa maji katika eneo kubwa la kijiji ilikuwa ni changamoto kubwa na iliyodumu mrefu hali iliyopelekea wananchi kutumia maji ambayo si safi na salama.

Wananchi wengi walikuwa wanakosa fursa ya kupata maji kwa urahisi na hivyo kuwalazimu kutembea umbali mrefu kutafuta maji na muda mwingine  kutumia maji ambayo si safi na salama kutoka na umbali wa kufuata maji.

Akizungumza katika tukio hilo,  Mavunde amesema"Ni matumaini yangu kwamba ile adha kubwa ya upatikanaji wa  wa maji katika eneo kubwa la kijijini Matumbulu itaisha na kusaidia wanakijiji kupata maji safi na salama kwa wakati"

Aidha Diwani wa kata hiyo,  Emmanuel Chibago amempongeza Mbunge Mavunde kwa anavyojitoa kuwatumikia wanadodoma na kuwaletea maendeleo na hivyo kuwaomba wanadodoma wampe ushirikiano ili afanye makubwa zaidi


That's an article MAVUNDE AWADUWAZA WANAKIJIJI WA MATUMBULU

Fine for article MAVUNDE AWADUWAZA WANAKIJIJI WA MATUMBULU This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MAVUNDE AWADUWAZA WANAKIJIJI WA MATUMBULU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/mavunde-awaduwaza-wanakijiji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :