LUKUVI AZIONYA KAMPUNI ZA UPIMAJI NA UUZAJI ARDHI - News Today in World

LUKUVI AZIONYA KAMPUNI ZA UPIMAJI NA UUZAJI ARDHI

LUKUVI AZIONYA KAMPUNI ZA UPIMAJI NA UUZAJI ARDHI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title LUKUVI AZIONYA KAMPUNI ZA UPIMAJI NA UUZAJI ARDHI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : LUKUVI AZIONYA KAMPUNI ZA UPIMAJI NA UUZAJI ARDHI
link : LUKUVI AZIONYA KAMPUNI ZA UPIMAJI NA UUZAJI ARDHI

newstoday-ok.blogspot.com ~
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amezionya kampuni ambazo hazijapunguza  gharama za upimaji wa ardhi kuwa zitafungiwa na serikali.

 Lukuvi aliyasema hayo leo wakati alipotembelea Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam na kutembelea Kampuni ya Proparty Intenational inajishughulisha na biashara ya upimaji na uuzaji wa viwanja.

Lukuvi alisema kampuni hizo zinatakiwa kupunguza gharama kwa asilimia 68 ili kuwawezesha wananchi kupimiwa viwanja kwa gharama nafuu.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Abdulhaleem Zaharani  alimuahidi waziri Lukuvi  kutoa uduma hiyo wak uaminifu mkubwa uhakikisha ananchi anapata viwanja vilivyopimwa.

"Nitoe mwito kwa watanzania kununua na kujenga katika viwanja ambavyo vimepimwa na sisi ukot tayari upak huduma bora,"


That's an article LUKUVI AZIONYA KAMPUNI ZA UPIMAJI NA UUZAJI ARDHI

Fine for article LUKUVI AZIONYA KAMPUNI ZA UPIMAJI NA UUZAJI ARDHI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article LUKUVI AZIONYA KAMPUNI ZA UPIMAJI NA UUZAJI ARDHI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/lukuvi-azionya-kampuni-za-upimaji-na.html

Subscribe to receive free email updates: