KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI
KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI
link : KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI
You are now reading the article KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/kongamano-kubwa-la-kibiashara-kati-ya.html
Title : KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI
link : KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI
newstoday-ok.blogspot.com ~
TAASISI ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Chama cha Wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) pamoja na Jumuia ya wauzaji nje ya nchi ya Uturuki wameandaa kongamanonla kibiashara baina ya kampuni za Uturuki na Tanzania inayotaraji kufanyika Julai 27,mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Akizungumzia Kongamano hilo Mkurugenzi Mtendajinwa TPSF, Godfrey Simbeye amesema lengo kuu la Kongamano hilo la kibiashara ninkuongeza ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara baina ya nchi hizo mbili pamoja na kubadilishana ujuzi na utaalam katika masuala ya kibiashara.
Simbeye alisema zaidi yanwashiriki 200 wanataraji kushiriki, huku akitoa wito kwa watanzania kutoka sekta mbalimbali hasa za ujenzi, kilimo na viwanda vya nguo kujitokeza na kujiandikisha kwaajilinya ushiriki wao.
"Hakuna adda ya ushiriki katika kongamano hilo, na nafasi ni chache maana tunataraji tuwe na washiriki takriban 200 ambao watakuja kukutana na makampunibya uturuki na kubadilishana uzoefu, hivyo tunatoa rai walio na nia ya kushiriki kujiandikisha mapema,"alisema Simbeye.
Aidha alisema kongamanobhilo litalenga zaidi katika sekta za umeme na vifaa vyake, mashine za kilimo, bidhaa zitokanazo na chuma, nguo na ushonaji, kemikali, vifaa vya magari na vipuri, saruji, ujenzi, Mahospitali, mazao ya vyakula na malighafi nyinginezo.
That's an article KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI
Fine for article KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA UTURUKI KUFANYIKA HIVI KARIBUNI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/kongamano-kubwa-la-kibiashara-kati-ya.html