KAMANDA WA TRAFIKI MOHAMED MPINGA APELEKWA MBEYA KUWA RPC - News Today in World

KAMANDA WA TRAFIKI MOHAMED MPINGA APELEKWA MBEYA KUWA RPC

KAMANDA WA TRAFIKI MOHAMED MPINGA APELEKWA MBEYA KUWA RPC - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title KAMANDA WA TRAFIKI MOHAMED MPINGA APELEKWA MBEYA KUWA RPC, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : KAMANDA WA TRAFIKI MOHAMED MPINGA APELEKWA MBEYA KUWA RPC
link : KAMANDA WA TRAFIKI MOHAMED MPINGA APELEKWA MBEYA KUWA RPC

newstoday-ok.blogspot.com ~
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saimon Sirro,  amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya.
 
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mohamed Mpinga anaenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, na nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Fortunatus Musilimu.
 
Aidha,  Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya (DCP) Dhahiri Kidavashari amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi.
 
Uhamisho huo ni wa kawaida katika kuboresha utendaji wa kazi za Polisi kwa mujibu wa kanuni, taratibu na miongozo ya Jeshi la Polisi.


That's an article KAMANDA WA TRAFIKI MOHAMED MPINGA APELEKWA MBEYA KUWA RPC

Fine for article KAMANDA WA TRAFIKI MOHAMED MPINGA APELEKWA MBEYA KUWA RPC This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article KAMANDA WA TRAFIKI MOHAMED MPINGA APELEKWA MBEYA KUWA RPC With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/kamanda-wa-trafiki-mohamed-mpinga.html

Subscribe to receive free email updates: