DHAMANA YA MALINZI NA WENZAKE YAGONGA MWAMBA, KUENDELEA KUSOTA MAHABUSU
DHAMANA YA MALINZI NA WENZAKE YAGONGA MWAMBA, KUENDELEA KUSOTA MAHABUSU - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title DHAMANA YA MALINZI NA WENZAKE YAGONGA MWAMBA, KUENDELEA KUSOTA MAHABUSU, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : DHAMANA YA MALINZI NA WENZAKE YAGONGA MWAMBA, KUENDELEA KUSOTA MAHABUSU
link : DHAMANA YA MALINZI NA WENZAKE YAGONGA MWAMBA, KUENDELEA KUSOTA MAHABUSU
You are now reading the article DHAMANA YA MALINZI NA WENZAKE YAGONGA MWAMBA, KUENDELEA KUSOTA MAHABUSU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/dhamana-ya-malinzi-na-wenzake-yagonga.html

newstoday-ok.blogspot.com ~
Wengine wanaokabiliwa na kesi hiyo ya utakatishaji fedha ni Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine na mweka hazina, Nsandie Mwanga.
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri amesema, hata upande wa utetezi unajua kuwa mashitaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana.
"Suala la kujiuliza, je mahakama hii inamamlaka ya kutoa dhamana katika kesi ya utakatishaji fedha?. Tunaona kuwa upande wa utetezi kupitia wakili Jerome Msemwa hawakubisha kama makosa hayo hayana dhamana," amesema Hakimu Mashauri
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Julai 17, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa kwa sababu upelelezi haujakamilika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Jamal Malinzi na wenzake ya kuomba dhamana.
Wengine wanaokabiliwa na kesi hiyo ya utakatishaji fedha ni Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine na mweka hazina, Nsandie Mwanga.
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri amesema, hata upande wa utetezi unajua kuwa mashitaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana.
"Suala la kujiuliza, je mahakama hii inamamlaka ya kutoa dhamana katika kesi ya utakatishaji fedha?. Tunaona kuwa upande wa utetezi kupitia wakili Jerome Msemwa hawakubisha kama makosa hayo hayana dhamana," amesema Hakimu Mashauri
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Julai 17, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa kwa sababu upelelezi haujakamilika
That's an article DHAMANA YA MALINZI NA WENZAKE YAGONGA MWAMBA, KUENDELEA KUSOTA MAHABUSU
Fine for article DHAMANA YA MALINZI NA WENZAKE YAGONGA MWAMBA, KUENDELEA KUSOTA MAHABUSU This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.