SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA - News Today in World

SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA
link : SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

newstoday-ok.blogspot.com ~
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Kiongozi wa Msafara na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji, Mhe. Lucas Jeremias (katikati) pale ugeni kutoka kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Beatriz Chaguala.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Kiongozi wa Msafara na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji, Mhe. Lucas Jeremias (katikati) pale ugeni kutoka kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Beatriz Chaguala.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisisitiza jambo mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, katikati ni Kiongozi wa Msafara na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji, Mhe. Lucas Jeremias na kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Beatriz Chagula.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza  mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, wa pili kushoto ni Kiongozi wa Msafara na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji, Mhe. Lucas Jeremias
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


That's an article SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

Fine for article SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/spika-ndugai-apata-ugeni-kutoka-bunge.html

Subscribe to receive free email updates: