RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI PWANI - News Today in World

RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI PWANI

RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI PWANI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI PWANI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI PWANI
link : RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI PWANI

newstoday-ok.blogspot.com ~

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli kesho Juni 20, mwaka huu anataraji kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoa wa Pwani.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo inaarifu kuwa katika ziara hiyo Rais Magufuli atazindua viwanda vikubwa vitano vilivyopo mkoani humo.

Taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi wake, Gerson Msigwa  imevitaja viwanda hivyo kuwa ni kiwanda cha vifungashio (Global Packaging Co. Ltd), kiwanda cha matrekta (Ursus-TAMCO Co. Ltd), kiwanda cha chuma (Kiluwa Steel Group), kiwanda cha kukausha matunda (Elven Agric Company) na atafungua kiwanda cha vinywaji baridi (Sayona Fruits).

Aidha Rais Magufuli atazindua mradi wa maji wa Ruvu na barabara ya Bagamoyo – Msata.

Rais Magufuli pia atapata fursa ya kukutana na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara iliyoandaliwa.


That's an article RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI PWANI

Fine for article RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI PWANI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI PWANI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/rais-magufuli-kuanza-ziara-ya-siku-tatu.html

Subscribe to receive free email updates: