RAIS MAGUFULI AMTAKA MTENDAJI MKUU WA DAWASA KUSTAAFU - News Today in World

RAIS MAGUFULI AMTAKA MTENDAJI MKUU WA DAWASA KUSTAAFU

RAIS MAGUFULI AMTAKA MTENDAJI MKUU WA DAWASA KUSTAAFU - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title RAIS MAGUFULI AMTAKA MTENDAJI MKUU WA DAWASA KUSTAAFU, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : RAIS MAGUFULI AMTAKA MTENDAJI MKUU WA DAWASA KUSTAAFU
link : RAIS MAGUFULI AMTAKA MTENDAJI MKUU WA DAWASA KUSTAAFU

newstoday-ok.blogspot.com ~
Rais John Magufuli amemtaka Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi. Archerd Mutalemwa (pichani) kustaafu.

Rais Magufuli amemtaka mtendaji huyo kustaafu ili aweze kutumika katika mambo mengine.

"Ndugu yangu Mutalemwa nimekuwa nikikusikia tangu siku nyingi... na wapo watu wananiuliza hivi Mutalemwa anastaafu lini... mimi nakuomba tu staafu hata kama mwili bado unakuonesha muda bado, ili yasije kukuta mabaya," Rais Magufuli. 

Ras magufuli ameyasema hayo hivi punde wakati akizindua mradi wa maji wa Ruvu Juu uliyopo Ruvu mkoani Pwani hii leo. 

"Usingoje hadi ukataliwe...kama umenisikia unielewe, usije kusema hujanielewa," Rais Magufuli.


That's an article RAIS MAGUFULI AMTAKA MTENDAJI MKUU WA DAWASA KUSTAAFU

Fine for article RAIS MAGUFULI AMTAKA MTENDAJI MKUU WA DAWASA KUSTAAFU This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article RAIS MAGUFULI AMTAKA MTENDAJI MKUU WA DAWASA KUSTAAFU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/rais-magufuli-amtaka-mtendaji-mkuu-wa.html

Subscribe to receive free email updates: