MFUMO WA USAJILI NCHINI KUBORESHWA - News Today in World

MFUMO WA USAJILI NCHINI KUBORESHWA

MFUMO WA USAJILI NCHINI KUBORESHWA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MFUMO WA USAJILI NCHINI KUBORESHWA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MFUMO WA USAJILI NCHINI KUBORESHWA
link : MFUMO WA USAJILI NCHINI KUBORESHWA

newstoday-ok.blogspot.com ~
 Waziri wa Katiba na  Sheria Prof.  Palamagamba  Kabudi akizungumza.

Serikali ya Tanzania inafanya maboresho ya Mfumo wa Usajili uliopo na kuanzisha mfumo utakaofanya kazi vizuri usajili wa matukio muhimu ya binadamu na takwimu nchini unaofanywa na Wakala wa  Usajili, Ufilisi na Udhamini - RITA 
 
Waziri wa Katiba na  Sheria Prof.  Palamagamba  KABUDI amesema hayo mjini Dodoma wakati akifungua mkutano wa wadau wanaojadili mfumo huo.
 
Amesema maboresho ya mfumo huo yanatekelezwa kupitia Mkakati wa Kitaifa wa usajili wa Matukio muhimu ya binadamu na takwimu (Civil Registration and Vital Statistics(CRVS). 
 
Prof Kabudi amesema Mfumo huo unalenga kutatua changamoto mbalimbali ambazo zimefanya hali ya usajili wa Matukio muhimu ya binadamu kutokuwa ya kuridhisha nchini. 
 
Ameongeza kuwa ana imani kuwa utekelezaji wa mkakati huo itakuwa njia sahihi itakayowezesha kumuona kila mwananchi katika picha ya taifa.
 
Mkutano huo wa wadau wa usajili wa Matukio muhimu ya mwanadamu nchini umeandaliwa na RITA


That's an article MFUMO WA USAJILI NCHINI KUBORESHWA

Fine for article MFUMO WA USAJILI NCHINI KUBORESHWA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MFUMO WA USAJILI NCHINI KUBORESHWA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/mfumo-wa-usajili-nchini-kuboreshwa.html

Subscribe to receive free email updates: