MAUAJI TENA KIBITI, TRAFIKI WAWILI WAHOFIWA KUUAWA MCHANA WA LEO - News Today in World

MAUAJI TENA KIBITI, TRAFIKI WAWILI WAHOFIWA KUUAWA MCHANA WA LEO

MAUAJI TENA KIBITI, TRAFIKI WAWILI WAHOFIWA KUUAWA MCHANA WA LEO - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MAUAJI TENA KIBITI, TRAFIKI WAWILI WAHOFIWA KUUAWA MCHANA WA LEO, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MAUAJI TENA KIBITI, TRAFIKI WAWILI WAHOFIWA KUUAWA MCHANA WA LEO
link : MAUAJI TENA KIBITI, TRAFIKI WAWILI WAHOFIWA KUUAWA MCHANA WA LEO

newstoday-ok.blogspot.com ~

TAARIFA kutoka Mkoani Pwani zinaarifu kuwa Polisi wawili wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, wanahofiwa kufa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana wakiwa kazini.

Majina na vyeo vya askari hao bado havijafahamika na inaelezwa kuwa wameuawa katika Kijiji cha Msafiri, Kata ya Bungu B kwenye kituo cha ukaguzi wa magari.

Inadaiwa kuwa, mbali na kuuawa kwa polisi hao lakini pia wauaji wamechoma moto gari na pikipiki za polisi hao na wamekimbia.

Kumekua na mauaji mara kwa mara ya wananchi wakiwemo viongozi na Polisi katika maeneo ya Mkuranga, Kibiti na Rufiji Mkoani Pwani. 

Endelea kufuatilia Daily News-Habarileo Blog itakuletea raarifa zaidi.


That's an article MAUAJI TENA KIBITI, TRAFIKI WAWILI WAHOFIWA KUUAWA MCHANA WA LEO

Fine for article MAUAJI TENA KIBITI, TRAFIKI WAWILI WAHOFIWA KUUAWA MCHANA WA LEO This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MAUAJI TENA KIBITI, TRAFIKI WAWILI WAHOFIWA KUUAWA MCHANA WA LEO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/mauaji-tena-kibiti-trafiki-wawili.html

Subscribe to receive free email updates: