MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI
MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI
link : MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI
You are now reading the article MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/masalia-ya-mijusi-dinosour-mikubwa.html
Title : MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI
link : MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI
newstoday-ok.blogspot.com ~
Na Octavian Kimario-WHUSM Dodoma.
Na Octavian Kimario-WHUSM Dodoma.
Wazo la kuwarudisha nchini Dinosaria halina tija kutokana na ugumu wa Kiteknolojia na gharama ikilinganishwa na faida za kuchukua hatua hiyo.
Akijibu swali la Mbunge wa Mchinga, Hamidu Hassan Bobali lililo uliza,Ni nini kauli ya mwisho ya Serikali kuhusu faida ambayo wananchi wa Lindi na Tanzania kwa ujumla wananufaika kutokana na mabaki hayo.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani amesema Tanzania itaendelea kusisitiza kupata manufaa kutokana na uwepo wa Dinosaria wake huko Berlin-Ujererumani.
“Kufuatia majadiliano ya kina yaliyohusisha wataalamu wabobezi katika masuala ya Malikale kutoka pande zote mbili imekubalika kuwa Serikali ya Ujerumani itaendesha shughuli za utafiti zaidi huko Tendaguru na katika maeneo jirani ili kuwezesha uchimbaji wa mabaki ya Dinosaria wengine yanayoaminika kuwepo katika maeneo hayo pamoja na kuanzisha Kituo cha Makumbusho ili shughuli za Utalii zifanyike katika eneo hilo na kuvutia watalii kutoka nchini na nje ya nchi” alisisitiza Makani.
Kuhusu Serikali kupunjwa mapato yatokanayo na viingilio katika Makumbusho ya Elimu Viumbe ya Berlin, Makani amesema jambo hilo halina ukweli wowote kwani ni ngumu kufahamu ni kiasi gani hupatikana kama kiingilio kuwaona Mijusi kutoka Tanzania kwakuwa Makumbusho hiyo ina kumbi nyingi zenye masalia kutoka nchi mbali mbali za Afrika na gharama za kuendesha Makumbusho hiyo hutolewa na Serikali ya Ujerumani.
Ameeleza kuwa Serikali ya Ujerumani itafadhili zoezi la uimarishaji idara inayohusika na Malikale katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuwezesha upatikanaji wa wataalamu wa kutosha wa fani husika ilikuendeleza Utalii wa Malikale nchini.
Mijusi mikubwa (Dinosaria) ilichimbwa katika Kilima cha Tendaguru,mkoani Lindi kati ya waka 1909 na mwaka 1913 na kupelekwa katika makumbusho ya Elimu Viumbe ya Berlin nchini Ujerumani.
That's an article MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI
Fine for article MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article MASALIA YA MIJUSI (DINOSOUR) MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/masalia-ya-mijusi-dinosour-mikubwa.html