MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGORO YAAHIDI USHIRIKIANO NA TFF - News Today in World

MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGORO YAAHIDI USHIRIKIANO NA TFF

MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGORO YAAHIDI USHIRIKIANO NA TFF - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGORO YAAHIDI USHIRIKIANO NA TFF, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGORO YAAHIDI USHIRIKIANO NA TFF
link : MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGORO YAAHIDI USHIRIKIANO NA TFF

newstoday-ok.blogspot.com ~
Naibu Mhifadhi (Huduma za Shirika) wa Mamlaka ya  Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Asangye Bangu (kulia), akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa TFF wa Maendeleo ya Soka (TFDF), Derek Murusuri, jijini Dar es Salaam leo.

Bangu alizitembelea ofisi za TFDF ili kujadili maeneo mbalimbali ya ushirikiano kati ya Mamlaka yake na Mfuko huo. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi za TFDF zilizoko Mikocheni jijini Dar Es Salaam leo (28 June 2017).

Katika mazungumzo hayo,  Bangu ameahidi kushirikiana na Mfuko huo katika kuendeleza soka la Tanzania.

Timu ya Taifa ya vijana walio chini ya miaka 20 (U-20), Ngorongoro Heroes, inatumia jina la Mamlaka hiyo ya Taifa ambayo pia ni mojawapo ya maajabu saba ya dunia.


That's an article MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGORO YAAHIDI USHIRIKIANO NA TFF

Fine for article MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGORO YAAHIDI USHIRIKIANO NA TFF This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGORO YAAHIDI USHIRIKIANO NA TFF With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/mamlaka-ya-hifadhi-ngorongoro-yaahidi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :