LYANGA ATEULIWA KUWA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA PWANI - News Today in World

LYANGA ATEULIWA KUWA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA PWANI

LYANGA ATEULIWA KUWA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA PWANI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title LYANGA ATEULIWA KUWA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA PWANI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : LYANGA ATEULIWA KUWA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA PWANI
link : LYANGA ATEULIWA KUWA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA PWANI

newstoday-ok.blogspot.com ~
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amemteua,  Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Onesmo Lyanga kuwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Pwani ikiwa ni hatua ya kupambana na matukio ya uhalifu katika maeneo ya Kibiti, Rufiji na Mkuranga. Anaandika Katuma Masamba.

IGP Sirro amemtangaza Lyanga kuchukua nafasi hiyo leo (Ijumaa) katika makao makuu ya jeshi hilo wakati akizungumza na wanahabari.

“Wananchi wampe ushirikiano kwa sababu matatizo ya kule hayawezi kumalizwa na vyombo vya dola, bali kwa kushirikiano na wao, watoe taarifa ili hawa wahalifu wapatikane,” amesema Sirro.

Lyanga kabla ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo alikuwa ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani.

Naye Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema, kwa ssaa serikali inafanya jitihada za kurekebisha miundombinu ili kanda hiyo mpya iweze kufanya kazi zake vizuri.

“Kanda hii imeshaanza kazi na Kamanda wake ameshateuliwa… suala la kumaliza uhalifu Kibiti na Mkuranga ni suala ambalo halina mjadala ni suala la lazima,” amesema.


That's an article LYANGA ATEULIWA KUWA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA PWANI

Fine for article LYANGA ATEULIWA KUWA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA PWANI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article LYANGA ATEULIWA KUWA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA PWANI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/lyanga-ateuliwa-kuwa-kamanda-wa-kanda.html

Subscribe to receive free email updates: