JENGO LA ABIRIA LA TERMINAL III KUKAMILIKA MWAKANI
JENGO LA ABIRIA LA TERMINAL III KUKAMILIKA MWAKANI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title JENGO LA ABIRIA LA TERMINAL III KUKAMILIKA MWAKANI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : JENGO LA ABIRIA LA TERMINAL III KUKAMILIKA MWAKANI
link : JENGO LA ABIRIA LA TERMINAL III KUKAMILIKA MWAKANI
You are now reading the article JENGO LA ABIRIA LA TERMINAL III KUKAMILIKA MWAKANI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/jengo-la-abiria-la-terminal-iii.html

newstoday-ok.blogspot.com ~
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema, mradi wa ujenzi wa jengo la abiria namba tatu (terminal III) unatarajiwa kukamilika Septemba, mwakani.
Mbarawa ameyasema hayo leo, baada ya kutembelea na kukagua mradi huo ambapo pia ameoneshwa kuridhishwa na kasi ya ujenzi wake na kwamba hadi sasa baadhi ya vifaa vimeshaanza kufungwa.
“Tumeona iko haja ya kuendelea na mkandarasi huyu ili kuhakikisha anamaliza kazi katika muda ambao tumekubaliana,” amesema.
“Jengo hili likishakamilika litakuwa na uwezo wa kuchukua watu milioni sita kwa mwaka lakini ukijumlisha Terminal II na III zitakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni nane kwa mwaka,”.
Aidha, Profesa Mbarawa amemuhakikishia mkandarasi wa jengo hilo, Bam International kuwa serikali itakuwa ikilipa kwa haraka malipo yote baada ya mkandarasi huyo kuwasilisha cheti cha uthibitisho wa kazi alizofanya na kuhakiki.

That's an article JENGO LA ABIRIA LA TERMINAL III KUKAMILIKA MWAKANI
Fine for article JENGO LA ABIRIA LA TERMINAL III KUKAMILIKA MWAKANI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.